The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu awatimua watumishi wengine watatu TRA

majaliwaWaziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa, amewasimamisha kazi watumishi wengine watatu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) ili kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazowakabili.

Watumishi hao hawaruhusiwi kusafiri kwenda nje ya nchi hadi uchunguzi dhidi yao utakapokamilika.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Comments are closed.