The House of Favourite Newspapers

Waziri Mwigulu Nchemba Atumbua Jipu Machinjio Dar, Usiku

2

mwigulu (6) Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye machinjio ya Ukonga, Mazizi jijini Dar, usiku wa kuamkia leo.

mwigulu (5) mwigulu (4)

Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba amefanya ziara ya Kushtukiza saa saba usiku wa kuamikia leo katika Machinjio ya Ukonga Mazizi.

mwigulu (2)Katika ziara hiyo, Waziri Nchemba  amekamata ng’ombe 200 wakiwa wanaingizwa kwenye machinjio bila kibali halali, na kati yao ni ng’ombe 20 tu ndo walikuwa na kibali cha kuchinjwa, hivyo ushuru  wa ng’ombe180  ulikuwa  unatafunwa  na  watumishi  waovu.

mwigulu (1)Baada  ya  kubaini  hali  hiyo,Waziri Nchemba ameufukuza  uongozi wote  wa  machinjio  hayo  na  kuagiza  vyombo  vya  dola  viwakamate  viongozi  wote waliohusika  na  kuwafikisha  mahakamani.mwigulu (3)

2 Comments
  1. Furaha mwasanga says

    Safi saana

  2. Urio says

    Hongera baba! Mwenyezi akulinde kwa kaz hiyo ngumu unayoifanya maana wengine washazoea bwereree.#hapa kazi tu!

Leave A Reply