🔴#LIVE: Simanzi Mazishi ya Gift Aliyeuawa kwa Risasi

MWILI wa marehemu Gift Mushi aliyepigwa risasi na Alex Korosso katika baa ya New Lemax, Sinza jijini Dar.
Mwili wa Gift umezikwa leo majira ya saa 8, Mbagala Kijichi.


Toa comment