The House of Favourite Newspapers

Dubai yamnyoosha Vera

0

screenshot_2017-01-16-09-01-17-1

Vera Sidika katika Pozi

screenshot_2017-01-16-09-00-06-1

Vera Sidika na vazi la Baibui Dubai

Over Ze Weekend: Gazeti la Ijumaa Wikienda, Toleo la Jumatatu, Jan. 16, 2017

MWANAMITINDO Vera Sidika amejikuta ananyooka mwenyewe baada ya kutua Jiji la Dubai na kushindwa kutupia vinguo vyake (nusu utupu) na kuvaa vazi la Baibui.

 

vera-sidika-2

veraa

vera-sidika3Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo, katika picha  mbalimbali zilizovuja zinamuonesha Vera akiwa kwenye vazi la baibui kitendo ambacho si cha kawaida kwake ambapo wapo mashabiki waliomsifu na wengine kumnanga kuwa jiji hilo limemyoosha. Vera amezoeleka kama mtu wa kujiachia nusu utupu bila kujali mazingira.

Leave A Reply