The House of Favourite Newspapers

NEW Music: Itazame ‘Tucheze’ Video Mpya Ya Muimbaji Akothee Kutoka Kenya

Wiki hii kwenye shavu la midundo ninayo mpya kabisa kutoka kwa Akothee. Safari hii anataka wote tuinuke na ‘Tucheze’.

Muimbaji wa Kenya, Akothee ameachia kichupa cha wimbo wake mpya ‘Tucheze’ na kuwasihi mashabiki wake kuburudika na wimbo huo kwani maisha ni mafupi sana.

My life, I want to live my life, No time Ooo I want to party all night, Nilishamueleza mpenzi leo ni siku ya kuparty eeh, Nilishamueleza mpenzi leo ni siku ya kuparty eeh!…” – Akothee anaimba.

 

‘Tucheze’ umesimamia na mtayarishaji maarufu kutoka Nigeria Mastercraft, huku video ilishootiwa South Africa chini ya usimamizi wa Godfather kutoka Nigeria pia.

Itazame ‘Tucheze’ mdundo mpya wa Akothee hapa chini.

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

Comments are closed.