The House of Favourite Newspapers

Top 5 Washiriki Wagombea Kura

0

BAADA ya kupatikana tano bora ya shindano hili la Figa Bomba wiki iliyopita, washiriki sasa wanagombea kupigiwa kura ili waweze kuingia tatu bora.

Kumbuka kura yako msomaji ni muhimu na wewe ndiye wa kupendekeza nani mwenye Figa Bomba ashinde shindano hili. Unafanyaje? Jibu ni rahisi! Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia sms kisha andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki na utume kwenda namba 15542.

Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee. Aidha, wadada hao unaowaona wana mapicha makali sana ambayo unaweza kuyaona kwa uzuri kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la GAZETI LA IJUMAA. Tembelea na u-like!

 

Leave A Reply