WATU wengi wamekuwa wakisumbuliwa na majipu lakini hawajui namna ya kuyatibu, baadhi hutibu kwa kutumia antibiotic lakini unaweza kuyachemsha yakaiva kisha unachanganya na chumvi vijiko vitatu vya chai na unga wa ngano kiasi, ukishapata mchanganyiko huo upake eneo linaloumwa kutwa mara tatu.
CREAM YA MAZIWA
Cream ya maziwa pia inatajwa kuwa tiba nzuri, unachotakiwa ni kuichanganya na siki ya tufaha au limao na bizari ya manjano, chemsha kisha acha mchanganyiko upoe baada ya hapo paka eneo linalouma.
KITUNGUU MAJI
Chukua kitunguu maji kikatekate vipande kisha kisugue taratibu kwenye jipu, unaweza kufanya zoezi hilo mara tatu mpaka nne kwa siku utaona matokeo.
YAI
Chukua ute mweupe wa yai, upake eneo lililo na jipu kisha funga na bandeji, nayo ni tiba nzuri sana.
kutibu mwenyewe nyumbani na ukapona kwa kutumia tiba asili kama hizi.
MAZIWA
Maziwa ni tiba nzuri ya jipu, unachotakiwa kufanya ni