Kajala, Masogange Chupuchupu…

SHINDANO la kumsaka staa wa kike Bongo aliyejaaliwa kuwa na shepu bomba linaendelea na sasa ni hatua ya 5 Bora ambapo wiki hii, Masogange na Kajala wamegongana kura ambapo ilibaki kidogo tu mmoja atoke.

Kwa maana hiyo wiki hii hakuna anayetoka ila wiki ijayo kura zitasema nani wa kusepa. Kumbuka kura yako msomaji ni muhimu na wewe ndiye wa kupendekeza nani mwenye Figa Bomba ashinde shindano hili.

Unafanyaje? Jibu ni rahisi! Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia SMS kisha andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki na utume kwenda namba 15542.

Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee. Aidha, wadada hao unaowaona wana mapicha makali sana ambayo unaweza kuyaona kwa uzuri kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la GAZETI LA IJUMAA. Tembelea na u-like!

 


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment