The House of Favourite Newspapers

0
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga.

Hamida Hassan| Gazeti la Ijuamaa | Star Mix

STAA wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga ameibuka na kusema kuwa presha ilitaka kuondoa uhai wake kwani alijikuta akiamka asubuhi akiwa amevimba mwili mzima na nguvu hana.

Lungi Mwaulanga akiwa hospitali.

Akizungumza na Ijumaa, Lungi alisema kuwa, hali hiyo ilimjia juzi ambapo ilibidi akimbizwe Hospitali ya
Mico iliyopo Kinondoni jijini Dar alikolazwa kwa ajili ya matibabu.
“Ama kweli tunatembea na kifo, presha ya kushuka inanisumbua sana na cha ajabu nilipoamka niliona mwili
umevimba, namshukuru Mungu sasa naendelea vizuri,” alisema Lungi.

Leave A Reply