The House of Favourite Newspapers

Sasha: Nipo Tayari Kuolewa Na Harmorapa

0
Muuza nyago kwenye vid­eo za Kibongo, Sasha Kas­sim.

MUUZA nyago kwenye vid­eo za Kibongo, Sasha Kas­sim, amevunja ukimya na kudai kwamba, yupo tayari kuolewa na msanii wa Bongo Fleva, Athuman Omary ‘Harmorapa’ kama ataamua.

Msanii wa Bongo Fleva, Athuman Omary ‘Harmorapa’.

Akizungumza na 3-Tamu, Sasha alifunguka ya moyoni kuwa, yupo tayari kuolewa na Harmorapa ambaye hivi kar­ibuni alidaiwa kuwa ana uhusiano naye wa kimapenzi.

“Nipo tayari kuolewa na Harmorapa kama akiridhia, sioni ajabu yoyote kwa sababu ni mwanaume rijali kama walivyo wanaume wengine,” alisema Sasha.

STORI: IMELDA MTEMA | AMANI | GLOBAL PUBLISHERS

Leave A Reply