The House of Favourite Newspapers

UHAKIKI WA RIWAYA: WATOTO WA MAMA N’TILIE (sehemu ya pili)

0
uhakiki wa riwaya: watoto wa mamantilie
          Watoto wa Mama N’tilie
  1. Nafasi ya mwanamke katika jamii. Mwanamke amechorwa kama:
  • Mzalishaji mali. Mama n’tilie anajishughulisha na uuzaji wa chakula ili aweze kuendesha familia yake.
  • Mama mlezi wa familia. Mama n’tilie anahusika na malezi ya familia yake. Alijitahidi kuhakikisha wanawe wanaendelea vyema
  • Mwenye huruma na upendo. Zenabu ni mwanamke mwenye huruma. Anaisaidia familia ya Mama n’tilie alipokwenda kumjulia hali bibi yake ambaye alikuwa ni mgonjwa.
  • Kakosa elimu kwa sababu ya umasikini. Zita na Kulwa wanakosa elimu kwa sababu ya ugumu wa maisha. Kulwa anabaki kuwa mtoto wa mtaani asiye na mbele wala nyuma.

UJUMBE

Haya ni mafunzo ambayo yanapatikana katika kazi ya fasihi. Ujumbe unaopatikana humu ni… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Leave A Reply