The House of Favourite Newspapers

Hadija Yusuf Awa Sapraiz Dar Live

0
Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Omary Kumbiramoto, aliyekuwepo kwenye burudani ya taarabu iliyotolewa na makundi ya Usiku wa Jahazi na Zanzibar Stars usiku wa kuamkialeo, aliwataka mashabiki wajiachie bila hofu katika kufurahia tukio hilo.
Hadija Yusuf alipanda jukwaani kama msanii mwalikwa na hivyo kuwa sapraizi kwa mashabiki waliofika hapo .
…Akitunzwa na shabiki wake.
Wapiga ngoma wa Kibao Kata wakipiga ngoma zao.
Wanenguaji wa Kibao Kata wakifanya yao.
…Wakiendelea kuonyesha manjonjo.

Usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakhiem, jijini Dar es Salaam, ambako kulikuwa na shoo ya taarab, mwanamuziki Hadija Yusuf alitokea jukwaani kuwasapoti wanataarab wenzake huku akishindikizwa na wacheza Kibao Kata.

PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL

Hii Ndiyo Tikisa Kiuno ya Mashauzi Classic

Leave A Reply