The House of Favourite Newspapers

REAL MADRID YAIFANYA KITU KIBAYA BARCELONA, YABEBA KOMBE LA UFUNGUZI WA MSIMU

0
Wachezaji wa timu ya Real Madrid ikiwa na Kombe la Spanish Super Cup baada ya kuwafunga Barcelona bao 5-1.
Mshambuliaji wa timu ya Barcelona, Messi akijaribu kumtoka kipa wa Real Madrid.
Wachezaji wa timu ya Real Madrid wakishangilia kwa pamoja.
Benzema akishangilia baada ya kuwatupia bao wapinzani wake.

Real Madrid imebeba Kombe la Spanish Super Cup, hiyo ni baada ya kuichapa Barcelona katika mechi zote mbili, ikiwa kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu imekabidhiwa kombe hilo baada ya kushinda kwa mabao 2-0.

Real Madrid ambayo inafundishwa na Zinedine Zidane ilishinda mechi ya kwanza ugenini kwa mabao 3-1, hivyo kuibuka na ushindi wa jumla wa mabao 5-1 dhidi ya Barcelona.

Leave A Reply