The House of Favourite Newspapers

Kuwa Milionea na Sokabet…Namba ya Bahati ni 335757

0

 

KUNA kampuni nyingi za kubashiri matokeo nchini Tanzania na duniani kwa jumla lakini kuanzia sasa unatakiwa kujua kuwa namba yako ya bahati katika mchezo huo wa kubashiri matokeo ni 335757.

Namba hiyo ni ya muhimu hasa kipindi hiki ambapo ligi kuwa za Ulaya zimeshaanza katika msimu wa 2017/18, ambapo muda si mrefu utaweza kuitumia kuingiza mamilioni ya fedha.

 

335757 ni namba ya Kampuni ya Sokabet, kampuni ambayo ipo kwenye hatua za mwisho kuanza kukuwezesha kupata mamilioni ya fedha kutokana na mchezo huo wa kubashiri.

 

Kujiandikisha ni bure Kabla ya kuanza kubashiri, kitu muhimu cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kufungua tovuti ya ww.sokabet.co.tz kisha unabonyeza sehemu ya ‘sign up’ yaani jisajili kwa mara ya kwanza.

 

Ukibonyeza hapo utatakiwa kujaza nafasi chache zilizo wazi ili kuweka taarifa zako ikiwemo namba yako ya simu ambayo ndiyo utaitumia katika kubashiri na kujiingizia mamilioni ya fedha. Maswali yenyewe ni namba ya simu, jina, jinsia yako na mwaka wa kuzaliwa.

 

Ukishamaliza kujaza nafasi hizo chache tu, utatumiwa namba yako ya siri ambayo utaitumia kuingia ndani rasmi kuanza kubashiri.

 

Baada ya hapo utajerea kwenye sehemu ya kuingia ndani yaani ‘LOGIN’, utaandika namba yako ya simu na kuingiza namba ya siri ambayo ndiyo utakuwa umetumiwa kwa njia ya SMS.

 

Faida ya namba hiyo ni kuwa utaitumia wewe tu na baadaye ukitaka unaweza kuibadilisha, yaani ndiyo inakuwa namba ya siri ya akaunti yako ya Sokabet.

 

Mitandao ipo tayari

Wakati ikiwa katika hatua za mwisho za kuanza kazi, Kampuni ya Sokabet hadi sasa tayari watumiaji wa mitandao ya simu wataweza kubashiri na kuvuna mamilioni ya fedha.

 

Kuingiza fedha

Jinsi ya kuingiza fedha kwenye akaunti yako kwa ajili ya kubashiri, watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), baada ya hapo ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.

 

Baada ya hapo utaingiza kiasi ambacho unataka kuweka mfano Sh 1,000, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na utabonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato wa kuingiza fedha kwenye akaunti yako.

 

Ikiwa unatumia mtandao wa Tigo, kuingiza fedha kwenye akaunti yako hiyo ambayo umeifungua, unatakiwa kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (Lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), baada ya hapo ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha unachotaka kuingiza (mfano Sh 1,000), kisha ingiza neno ‘Soka’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri.

Jinsi ya kubashiri

 

Ni rahisi tu, baada ya kujiunga na kuingia ndani, sasa unachotakiwa ni kujaza fedha kwenye akaunti yako hiyo ya mtandaoni ambayo itatambulika kwa namba yako ya simu na jina lako ambalo umelisajili.

Buku tu itakupa milioni 100

Unahitaji kiwango cha shilingi 1,000 yaani buku tu kupata shilingi milioni 100 kama kiwango cha juu cha kubashiri, kipengele hiki kinaitwa Sokabet Jackpot.

 

Kwa Sh 200 tu unapata mamilioni

Ukishaingiza fedha kwenye akaunti yako, unaweza kuanza kubashiri hata ukiwa na salio la shilingi 200 tu ambayo ikakuwezesha kupata mamilioni ya fedha.

Siyo soka tu

 

Jambo zuri zaidi ni kuwa Sokabet inahusisha michezo mingi zaidi ya soka, kuna kikapu, tenisi, ndondi na mingine kibao.

Hivyo, kuelekea kuanza kwa mchakato huo ambao utahusisha washiriki wenye umri wa kuanzia miaka 18, mambo mawili unatakiwa kukumbuka ni kuwa Sokabet ndiyo mkombozi wako katika mchezo wa kubashiri, pili kumbuka namba 335757 ni namba yako ya bahati, iweke kichwani hiyo.

Leave A Reply