Vuna Mamilioni Ya Sokabet Kupitia SMS

NDANI ya Sokabet unaweza kufanya michakato yako kupitia tovuti, pia unaweza kupata huduma kupitia huduma ya SMS, ni rahisi sana, unachotakiwa ni kutumia namba *148*89# utapata michakato yote unay-otaka.

Jinsi ya kutumia huduma ya SMS ambayo inapatikana kwa watumiaji wa mitandao ya Airtel na Vodacom, kampuni nyingine za simu bado mchakato unaendelea, fanya haya:

  1. Andika namba *148*89# kisha bonyesha kitufe cha kupiga.
  2. Zitatokea huduma kadhaa na kukupa maelekezo ya nini unatakiwa kukifanya.
  3. Chagua huduma unayotaka kuitumia, mfano kuna huduma za Bet na Odds za Mpira, Jackpot Bets, Weka Pesa, Toa Pesa, Salio, Mkeka, Msaada na Jisajili.

Unaweza kuchagua huduma unayotaka kwa kuandika namba ya huduma hiyo kisha utaelekezwa nini cha kufanya.

TOVUTI YA SOKABET ITAKAVYOKUJAZA MINOTI

  1. Fungua tovuti ya www.sokabet.co.tz.
  2. Jiandikishe kwa kubonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi, utatumiwa namba ya siri kwa SMS (kama umeshajia-ndikisha).
  3. Kufungua akaunti yako bonyeza ‘LOGIN’, andika namba ya simu, ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS.
  4. Ukiingiza fedha katika akaunti yako ya Sokabet, unaweza kuanza kubeti kipengele chochote unachotaka, kiwango cha chini ni shilingi 200 tu.
  5. Ukitatizika popote wasiliana na huduma kwa wateja namba 0654705555 pia unaweza kuwasiliana nao bure kwa kuingia katika tovuti na kulia kwako utaona neno ‘online’, bonyeza hapo uanze kuchati na watoa huduma.
  6. Vipengele kibao, kuna michezo mingi unayoweza kubeti, baadhi ni soka, American Football, baseball, kikapu, kriketi, gofu, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.
Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment