Nafasi Ya Kazi Ya Uuzaji Wa Magazeti Global Publishers

Kampuni ya Global Publishers and General Enterprises iliyopo Sinza-Mori, mkabala na Wanyama Hotel, inatoa nafasi za kazi ya uuzaji wa magazeti kwa vijana wa kike na wa kiume.

Sifa za Muombaji:-
1. Awe mkazi wa Dar es salaam
2. Awe na umri kuanzia miaka 18-35
3. Aweze kusoma, kuandika na kuhesabu
4. Awe mwaminifu na mwenye kujituma

Mwombaji afike na vifuatavyo:-
1. Barua ya maombi ya kazi pamoja na picha ya mwombaji (passport size)
2. Barua ya utambulisho kutoka serikali za mtaa
3. Barua za wadhamini wawili pamoja na picha (passport size) zao.

Kwa maelezo zaidi, piga simu no.
0719 – 731496
0713 – 686427

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment