JPM Aungana na Watanzania Kuomboleza Kifo cha RC Bendera

Rais Magufuli akisalimiana na RC Joel Bendera enzi za uhai wake.

RAIS Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera ambaye amefariki leo hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

VIDEO: HIVI NDIVYO JOEL BENDERA ALIVYOFARIKI DUNIA!

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Usipitwe Na matukio, Install App yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers


Android : =>  Play store

ISO : =>   APP store

Toa comment