The House of Favourite Newspapers

SHENTE MUROZI ’19 HOURZ’ AACHIA VIDEO MPYA

0

Msanii na prodyuza wa Muziki wa Bong Fleva kutoka Studio ya Black iliyopo Magomeni Kagera jijini Dar, Shente Murozi ’19 Hourz’ ameachia kibao chake kipya cha Only One.

19 Hourz ambaye amewaku kuwa mdhamini wa Shindano la Wikienda Music Search (WMS) lililoandaliwa na Gazeti la Ijumaa Wikienda la ‘Unataka Kuwa Msanii Mkubwa wa Muziki’. Amewaomba mshabiki wake kumuunga mkono kwenye harakati zake za kimuziki.

Leave A Reply