Listi Ya Wasanii Watakao Kinukisha Jukwaa La Fiesta, Dar leo - Global Publishers

Imewekwa na on November 5th, 2016 , 11:15:07am

Listi Ya Wasanii Watakao Kinukisha Jukwaa La Fiesta, Dar leo

fiesta

yemi-1Staa kutoka Nigeria, Yemi Alade.

mayday-concert-50

Mkali wa ngoma ya Wash, Where, Dulo kutoka Nigeria, Tekno Miles.

ALIKIBA3.JPG

Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba.

darasa-too-much

Msanii wa Bongo Fleva, Darassa.

maua-sama

Maua Sama.

j

Jux.

baraka-de-prince_siwezi-downloadBaraka The Prince.

13743540_1828025534092773_168777423_n

Shilole.

roma

Roma.

Vanessa-Mdee-1.jpg

Vanessa Mdee.

raymond-titop

Raymond.

sholo-mwamba

Sholo Mwamba.

snura-copy

Snura.

Man Fongo 'Mzee wa hauna' (2)

Man Fongo.

 

Fiesta 2016 kwa kishindo cha Tigo leo viwanja vya Leaders manispaa ya kinondoni jijini Dar es salaam, jukwaa litashereheshwa na orodha ifuatayo kwa wasanii kutoka hapa nyumbani. Ni pamoja na Alikiba, Baraka The Prince, Barnaba, Bell 9, Billnas, Chege, Christian Bella, Darassa, Dogo Janja, Fid-Q, Hamadai, Jay Moe, Juma Nature, Jux, Lord Eyez, Man Fongo, Maua Sama, Mr Blue, Msami, Nandy, Raymond, Roma, Shilole, Sholo Mwamba, Snura, Stamina, Vanessa Mdee, Weusi na Young Dee.

Jukwaa pia litashereheshwa na wasanii kutoka nje ya Tanzania, ni pamoja na Jose Chameleon kutoka Uganda, Tekno Miles na Yemi Alade kutoka Nigeria. 

Fiesta 2016 Imooooo! Kwa tiketi ya elfu 18 kupitia mtandao wako wa Tigo na elfu 20 kwa vituo vifuatavyo, ni pamoja na Mlimani City, Palm Resusence – Ocean Road, Nkrumah – Gerezani, Buguruni – Rozana, Quality Center, Kariakoo – Msimbazi/ Pemba Street, Kibaga – Maili moja karibu na Njuweni, Kigamboni – Ferry, Manzese – Darajani, Tegeta – Kibo Complex Mall, Makao Makuu – Makumbusho, Masak i- Haile Selasie, Mbagala – Kituo cha mafuta Oilcom na 25 getini sio ya kukosa.

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Stori zinazo husiana na ulizosoma