The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Diwani Viti Maalum CUF Ajiuzulu

Diwani wa Chama cha Wananchi (CUF) Viti Maalum, Rukaiya M. Ally amejiuzulu nafasi yake ya udiwani kutoka kwa madai ya kukosa ushirikiano ndani ya chama hicho kuanzia ngazi ya  tawi hadi taifa.

Barua ya Ruwaiya M. Ally aliyompelekea Mkurugezi wa Manispaa ya Ilala, kujiuzulu nafasi yake ya udiwani kupitia Chama cha Wananchi (CUF).

Comments are closed.