The House of Favourite Newspapers

Jinsi Simba Walivyotunguliwa na Kagera Mbele ya JPM

RAIS Magufuli hakuvutiwa na kiwango walichoonyesha Simba jana dhidi ya Kagera na kuongeza kuwa wakiendelea kucheza hivyo hawataweza kuchukua kombe la ubingwa wa Afrika hivyo amewataka wajipange ili waweze kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kumalizaka kwa mchezo kati ya timu hiyo dhidi ya Kagera Sugar huku simba wakilala kwa kufungwa bao 1-0.

Rais Magufuli akiongea baada ya mechi ya Simba kumalizika dhidi ya Kagera ambapo Simba ilifungwa bao 1-0 dhidi ya Kagera jana katika Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Kipa wa Simba, Aishi Manura akijaribu kuwai mpira usizame golini kwake siku ya jana dhidi ya Kagera.
…Mpira ukiwa wavuni.
Manura akaiwa hoi
Wachezaji wa timu ya Simba wakiwa hoi baada ya kufungwa na Kagera.
Mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi akiwa hoi baada ya kukosa penalti.
Golikipa wa Kagera Sugar Juma Kaseja akishangilia.

Magufuli ”Sisi Wanasimba” Kauli ya JPM Iliyoibua Shangwe

 

Comments are closed.