The House of Favourite Newspapers

Shamsa Ford Nikikaa Peke Yangu Napata Amani

Shamsa Ford.

MUIGIZAJI anayefanya vizuri Bongo Muvi, Shamsa Ford amesema kuwa kuwa kuna wakati anatamani kabisa kukaa pekee yake ili kuweza kuipa uhuru akili yake ifikirie mengi zaidi kuliko kujichanganya na watu kila wakati.

 

Akizungumza na Over Ze Weekend, kuna wakati anapenda kukaa peke yake kabisa tena kwa muda mrefu ili kuweza kupata muda mwingi wa kujikwagua na kujitafakari wapi yupo sahihi na wapi amekosea ili awe mpya tema.

 

“ Dawa yangu kubwa mimi kuna wakati napenda kukaa pekee yanagu najikwagua vizuri sana kuliko mtu anikwague kwasababu najua wapi niliteleza wapi nilikuwa sahihi,” alisema Shamsa.

Comments are closed.