The House of Favourite Newspapers

WASHINDI WA TUSUA MAISHA NA GLOBAL WAPEWA ZAWADI

Mwanauziki Juma Nature (kushoto) akikabidhi funguo za pikipiki kwa mshindi wa Tusua Maisha na Global, Solomon Mapunda jana Dar Live.
Solomon Mapunda akiwa na zawadi yake
…Akiweka pozi
Juma Nature (kushoto) akikabidhi funguo  kwa mshindi wa Tusua Maisha na Global, Amiri Bakari
Juma nature akimpongeza mshindi
 Amiri Bakari akiwa na zawadi yake

WASHINDI wa Shindano la Tusua Maisha na Global linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, leo wamekabidhiwa zawadi zao katika Ukumbi huo namba moja kwa burudani Jijini.

PICHA NA RIHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.