Mwili wa Mzee Majuto Ulivyopokewa Tanga (Picha+Video)

MAMIA ya waombolezaji jijini Tanga wamejitokeza kupokea mwili wa aliyekuwa mwigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’,  aliyefariki Jumatano Agosti 8, 2018  saa 2:00 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Mwili wa marehemu Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ ukipokelewa na wakazi wa Jiji la Tanga baada ya kuwasili usiku wa jana ukitokea jijini Dar es Salaam.

Habiba, mtoto wa Majuto, akilia. Sehemu ya taswira ya waombolezaji waliofika Tanga.

Mwigizaji, Mzee Chiro (kulia) alikuwa miongoni mwa wasanii waliofika msibani.

TANGA: VILIO Vyatawala Mwili wa Mzee MAJUTO Ulipowasili

(PICHA: RICHARD BUKOS | GPL)

Loading...


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment