The House of Favourite Newspapers

VIDEO: KIWANDA CHA KISASA CHA MPUNGA, BUSEGA USIPIME

GLOBAL TV ONLINE  imefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Busega Mazao LTD, Deogratius Kumalija, amesema kiwanda hicho kilisajiliwa rasmi mwaka 2015 na kuanza uzalishaji rasmi mwaka 2017. Kiwanda hiki kinategemea kuajiri watu zaidi ya 300. Ni kiwanda cha kununua mpunga na nafaka mbalimbali kutoka kwa wakazi wa eneo hili ambapo wataweza kuuza kuanzia debe moja la mpunga.

Email: [email protected]

Website: https://busegamazao.co.tz/

Comments are closed.