The House of Favourite Newspapers

Esha Buheti Afunguka Mazito Usiku wa ‘Nipe Changu’ -Video

STAA wa filamu za Kibongo, Esha Buheti,  amesema kuwa hana bifu staa wa muziki wa Bongo Fleva,  Ali Kiba, kwa  kutomposti mtoto wake siku yake ya kuzaliwa kama mashabiki wanavyosema.

Mwigizaji huyo aliyasema hayo usiku wa kuamkia leo wakati wa uzinduzi wa muvi ya msanii mwenzake, Duma, iitwayo Nipe Changu.

Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa sinema wa Mlimani City.

“Diamond Hakupitiwa na Shetani / Alinipa Hela Nzuri” – LUCY

Comments are closed.