The House of Favourite Newspapers

WALIOITWA KWENYE USAILI TARURA DODOMA CITY

Mratibu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dodoma anawataarifu waombaji wa ajira ya Mkataba wa miezi sita (6) wafuatao kuitwa kwenye usaili.
Aidha mnashauriwa kuzingatia maelekezo yote yaliyomo katika tangazo.
Wasaili walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:
1.Ukaguzi wa vyeti utafanywa kabla ya usaili kuanza
2.Usaili wa ana kwa ana utaanza saa moja kamili asubuhi (1.00) na utafanyika mahali na
tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika.
3.Wafike na kitambulisho kwa ajili ya uta mbulisho mfano: Kitambulisho cha Mkazi,Mpiga Kura, Kazi, Hati ya kusafiria n.k
4.Wafike na Vyeti halisi (Original Certificate) kutegemeana na sifa za mwombaji
5.Kila Msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi
6.Kila Msailiwa azingatie muda, tarehe na eneo alilopangiwa kufanyiwa usaili.
7.Wale ambao majina yao hayakufanikiwa nawasisitiza kuomba tena mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa.
8.Watahiniwa watakaofaulu mtihani wa mchujo wazingatie mahali na tarehe za usaili wa
mahojiano kama ilivyoonyeshwa kwenye tangazo.

Comments are closed.