Nafasi Ya Kazi: DEREVA DARAJA LA II

OFISI ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetangaza nafasi za kazi ya Dereva Daraja la II Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2019-02-22

DEREVA DARAJA LA II,. – 1 POST

Employer: ARCHITECTS AND QUANTITY SURVEYORS REGISTRATION BOARD (AQSRB)

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kuendesha gari la Taasisi;

ii.Kutunza na kuandika daftari la safari (log- book) kwa safari zote;

iii.Kufanya uchunguzi wa gari kabla ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo;

iv.Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

v.Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote; na

vi.Kutekeleza kazi nyingine yoyoye atakayopangiwa na mkuu wake wa kazi.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Cheti cha kuhitimu Kidato cha nne (Certificate of Secondary Education), na Leseni ya Udereva Daraja “C” na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) bila kusabisha ajali. Sambamba na hilo Muombaji anatakiwa kuwa na cheti cha Majarabio ya Ufundi wa Magari, Daraja la III kutoka VETA pamoja na cheti cha Udereva Mahiri Daraja la pili kutoka chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

REMUNERATION: Salary Scale KWA KUZINGATIA KIWANGO CHA MSHAHARA

 

Toa comment