PICHAZ: WAZIRI MKUU AKIFUNGUA KIWANJA CHA TAIFA CHA MCHEZO WA BASEBALL

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili kwenye Shule ya Sekondari ya Azania jijini Dar es Salaam, Desemba 6, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Balozi wa Japan Nchini,    Shinichi Goto wakati alipofungua Kiwanja Kipya cha Taifa cha Baseball.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipofungua kiwanja Kipya cha Taifa cha Baseball na Kuzindu Mshindano ya Taifa ya Baseball   kwenye Shule ya Sekondari ya Azania.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mkwe wa Jackie Robinson, Muasisi wa Mchezo wa Baseball Duniani, Rutti David Robinson (katikati) na Mjukuu wa Muasisi huyo, Busaro David Robinson   (kulia) wakati alipofungua Kiwanja Kipya cha Taifa cha Baseball.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kiwanja Kipya wa Taifa cha Baseball na Kuzindua Mashindano ya Taifa ya Baseball.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Kiwanja Kipya cha Taifa cha Baseball.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akirusha mpira huku Balozi wa Japan Nchini, Shinichi Goto  (kushoto) akijiandaa kuuzuia.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mmoja wa wadhamini wa Ujenzi wa Kiwanja Kipya cha Taifa cha Baseball, Dkt. Kazusue Konoike wakati alipofungua kiwanja hicho.

Toa comment