Nafasi za Kazi 100 Maxcom Africa PLC, Mwisho Dec 31, 2018

Kampuni ya Maxcom Africa PLC,Maarufu kwa jina la Maxmalipo ambayo inajihusisha uwekaji wa mifumo ya malipo ya Kielektroniki kwenye taasisi mbalimbali binafsi na za Serikali inatangaza Nafasi za ajira ya muda katika sekta ya mauzo(Sales Freelancer)

Nafasi:Sales Freelancer
Mkoa :Daresalaam
Idadi. : 100
Malipo:Kamisheni(Comm. Ission based)

MASHARTI YA JUMLA
1.Waombaji wawe na elimu ya Secondary na kuendelea
2.Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
3.Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua ya maombi ya kazi.
4.Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
5.Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.v) yenye anwani na namba za Simu za kuaminika pamoja na majina ya Wadhamini(Referees) Watatu wa kuaminika
6.Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma
7.Picha moja”Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina la nyuma.
8.Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45.
9.Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 31.12.2018.

Maombi yanaweza kutumwa kwa njia ya Posta kupitia anuani ifuatayo.

Msimamizi wa Kitengo cha Mauzo
Maxcom Africa Plc
P.O.Box 31211
Daresalaam.
AU
MAOMBI YALETWE KWA MKONO KATIKA OFISI ZA MAXCOM ZILIZOPO JENGO LA MILLENNIUM TOWERS(LAPF TOWERS) KIJITONYAMA,GROUND FLOOR.

Loading...

Toa comment