The House of Favourite Newspapers

BODABODA DAR KUCHUANA KAMANDA CUP

Taswira ilivyoonekana katika hafla hiyo ya uzinduzi wa  mashindano ya Usalama barabarani ‘Kamanda Cup’ 
Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai (katikati) akimuonyesha Meneja Uhusiana na Mawasikiano wa GSM Tanzania, Matina Nkurlu (Kushoto).
Matina Nkurlu  akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi mashindano ya Usalama barabarani ‘Kamanda Cup’.  
Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai (Kushoto)  akikabidhiwa  na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kiraia ya Haki elimu Tanzania,   Dkt. John Kalage boksi lenye  vipeperushi vyenye ujumbe wa usalama barabarabani.
Kamishina Msaidizi wa Polisi na Mkuu wa Operesheni Kikosi cha Usalma barabarani Makao Makuu, Abdi Issango, (Kulia)  akiongozwa na Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai (wapili kulia). 
Abdi Issango, ( Kulia ) akisalimiana na  Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GSM, Matina Nkurlu. 

 

 

Mashindano ya Usalama Barabarani ‘Kamanda Cup’  yamezinduliwa katika viwanja vya Tanganyika Pakers  jijini Dar es Salaam na jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki.

 

Lengo la michuano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vya moto,  mashindano hayo yameandaliwa na jeshi la Polisi kwa kudhaminiwa na kampuni ya GSM Tanzania ambayo yanatarajiwa kuchukua zaidi ya miezi mitano kumalizika.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.