Rais wa Congo, Felix Tshisekedi Kutua Nchini Kesho

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi anatarajiwa kuwasili nchini kesho Alhamisi, Juni 13 kwa ziara ya siku mbili.

Rais Tshisekedi alichaguliwa mapema mwaka huu akichukua nafasi ya Joseph Kabila aliyeongoza nchi hiyo kwa miongo kadhaa.

Loading...

Toa comment