Kila Ijumaa Meridianbet Inakurejeshea 10% Ukichezo Lucy6 na Keno
Ifanye Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake ya bahati tangu akiwa Manchester United. Meridianbet inaifanya pia Ijumaa kuwa yenye bahati kwa kurejesha 10% ya pesa yako uliyotumia kwenye kucheza Lucky 6 na mchezo wa Keno.
Hii ina maana kwamba unapocheza keno na Lucky 6 huchezi kwa hasra tu, na hii ndiyo biashara pekee yenye faida hata msimu unapokuwa mbaya, Meridianbet ina michezo pia ya kasino mtandaoni na sloti inayoweza kuongeza kipato chako. Cheza Keno.
Maelezo ya Promosheni hii ya Ijumaa ya bahati inakupa nafasi ya kucheza keno na kushinda bila mbambamba.
Promosheni imeanza tangu tarehe 19.05.2023 na itafanyika kila Ijumaa hadi mwisho utakapotangazwa na mwendeshaji.
Michezo inayoshiriki ni Lucky 6, na Keno kama vile Keno Instant.
Cashback itawekwa kwenye akaunti yako kila Jumamosi kabla ya saa 11 asubuhi. Malipo ya chini ya tiketi yanayotakiwa ni TZS 500.
Unaweza kupata bonasi ya juu ya TZS 25,000 kwa kila kipindi cha mahesabu (Mwisho wa wiki).
Tafadhali kumbuka kuwa tiketi zilizochezwa kwa kutumia pesa za bonus hazistahiki kwa promosheni hii.
Kiasi cha cashback kinahesabiwa kama 10% ya hasara yako yote wakati wa kipindi cha Mwisho wa wiki.
Hasara ya jumla inahesabiwa kwa kutoa ushindi wako jumla kutoka kwenye dau lako jumla kwenye tiketi zote zinazostahiki. Kanuni za jumla za mwendeshaji zinatumika.
Mwendeshaji anahifadhi haki ya kumaliza promosheni wakati wowote kabla ya tarehe ya mwisho iliyopangwa.
Usipitwe na fursa hii ya kushangaza! Jiunge nasi kila Ijumaa ya Bahati na ugeuze wikendi yako kuwa yenye thamani zaidi.
NB: Meridianbet ina Jackpoti kubwa ya Tsh 200m timu 13 kwa dau dogo la Tsh 1,000/= yaani BUKU tu! ni maalum kwa wateja wa mtandaoni na wanaobashiri na kitochi bila bando *149*10# Kucheza Jackpoti Bonyeza hapa.