Mtangazaji wa kituo cha Tv3 Aliyedaiwa kupotea Apatikana Kwa Shangazi
Mtangazaji wa kituo cha Tv3 na mwanafamilia wa tasnia ya habari kwa ujumla, Gwamaka Francis ‘BOIBOI MKALI” ambaye aliripotiwa kupotea, amepatikana!akiwa nyumbani kwa shangazi yake Kitunda jijini Dar es Salaam ambapo jeshi la Polisi limesema kuwa linaendelea na mahojiano ili kujua ukweli wa tukio lake na litatoa taarifa rasmi hapo baadae.