The House of Favourite Newspapers

Wafuasi wa Chadema Wafurika Mahakamani Kufuatilia Kesi ya Wenje

0

1Ezekia Wenje akiwa  Mahakamani

Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  wakiongozwa  na  Mwenyekiti  wa chama hicho, Freeman Mbowe leo  wamefurika kwenye eneo la Mahakama  Kuu Kanda ya  Mwanza katika kesi ya  mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA)  anayepinga  matokeo  ya uchaguzi uliofanyika Oktoba mwaka jana yaliyompa ushindi wa ubunge wa jimbo hilo, Stanslaus Mabula (CCM).

Polisi  wametumia  nguvu  ya  ziada  kuhakikisha  ulinzi  unaimarika  mahakamani  hapo.

2Mbunge wa Nyamagana Staslaus Mabula akiwa mahakamani

3  Ezekiel Wenje akisubiri kutoa ushahidi 5 6 7 8 9 10Freeman Mbowe na  Ezekiel Wenje wakiwa mahakamani.
Leave A Reply