Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(wapili kushoto)akionesha simu ya kisasa aina ya Galax S7 kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa uzinduzi wa simu hizo aina ya Galax S7 na S7 Edge ambazo haziingizi maji ulifanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Samsung Tanzania, Kutoka kushoto Meneja wa bidhaa wa Samsung,Rayton Kwembe, Mkuu wa kitengo cha huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania, Samson Charles na Meneja masoko wa Samsung,Tulisindo Mwachula.
Meneja wa bidhaa wa Samsung,Rayton Kwembe(kushoto)akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi unavyoweza kuitumia simu ya aina ya Galax S7 na S7 Edge katika matumizi mengine, wakati wa uzinduzi wa simu hizo ambazo haziingizi maji ulifanyika Makao Makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam, Katikati Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu na Mkuu wa kitengo cha huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania, Samson Charles.
Meneja wa bidhaa wa Samsung, Rayton Kwembe (kushoto) Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu, Mkuu wa kitengo cha huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Charles, Meneja masoko wa Samsung, Tulisindo Mwachula, wakionesha simu aina ya Galax S7 na S7 Edge kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu hizo ambazo haziingizi maji ulifanyika Makao Makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Meneja wa bidhaa wa Samsung,Rayton Kwembe(kushoto) na Mkuu wa kitengo cha huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania, Samson Charles (kulia) wakimshuhudia Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu, akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)simu ya kisasa aina ya Galax S7 wakati wa uzinduzi wa simu za aina hiyo na S7 Edge ambazo haziingizi maji ulifanyika Makao Makuu ya Kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Samsung Tanzania.