The House of Favourite Newspapers

Maandalizi Ya Mwendo Kasi Festival Kijitonyama jijini Dar leo

0

IMG_0860 IMG_0863

Mwananuziki Quick Rocka akijaribu vyombo vya muziki maandalizi ya Mwendo kasi Festival ambayo inafanyika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar leo.

IMG_0878

Mwanamuziki G Nako akifanya yake kukinukisha leo.

IMG_0889

Muonekano wa jukwaa la Mwendo kasi Festival. 

IMG_0912

Mwandishi wa Global Digtal, Gabriel Ng’osha akiwa katika viwanjahivyo mchana wa leo.

(PICHA NA GLOBAL DIGTAL/ GABRIEL NG’OSHA, GPL)

Leave A Reply