The House of Favourite Newspapers

JOKATE YAMKUTA YA AMINA CHIFUPA

SIKU tatu baada ya Mwanamitindo Jokate Mwegelo kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, gumzo la aina yake limeibuka kumhusu mrembo huyo kitendo ambacho kimeshabihiana na mambo yaliyomtokea marehemu Amina Chifupa…

Ndoto ya Amina Chifupa Iliyoyeyuka

Amina Chifupa. Na Leonard Msigwa KAMWE hakuna binadamu atakayeishi duniani milele, la hasha!  Kila nafsi lazima ionje mauti, kila moja kwa wakati wake. Aliyekuwa mwanamuziki mahiri hapa nchini, marehemu Ramadhan Ongala, maarufu kama ‘Dr…

Dully Atoboa Siri Kutozeeka!

HUYU jamaa hapendi kuitwa msanii, bali hupendelea kuitwa mburudishaji kwani asilimia kubwa ya ngoma zake ni za kucheza na siyo kusikiliza. Stejini hujulikana kwa jina la Prince Dully Sykes au Dully, lakini jina alilopewa na…