The House of Favourite Newspapers

MPENZI WANGU SARAFINA-22

Moyo wa Richard ulikuwa na presha kubwa, pale alipokaa alikuwa akitetemeka kwa furaha, aliikutanisha mikono yake huku akimuomba Mungu, wazazi wake walikuwa pembeni huku wakimtia moyo kwa kumwambia kwamba mkewe angejifungua salama.…

Insane (Mwendawazimu)-14

Theo akaelekea nyumbani kwao huku akiwa na furaha tele, kile alichokuwa amekipanga kwa muda mrefu hatimaye alifanikiwa na muda huo ulikuwa wa kujipongeza kwa kazi kubwa aliyokuwa ameifanya. Alipofika nyumbani, akaelekea katika chumba cha…

Dalili Hatari kwa Wajawazito

Na DOKTA WA RISASI| MTANDAO|RISASI JUMAMOSI| MAKALA na Mitandao WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba.  Kuna matatizo…

Mbunge: Wastara ameniroga

Aliyekuwa mume wa nyota wa Filamu za Bongo, Wastara Juma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Donge (CCM), Zanzibar, Sadifa Juma. NA WAANDISHI WETU Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Makubwa! Aliyekuwa mume wa nyota wa Filamu za Bongo, Wastara…

Rigwaride Ra Afande – 17

ILIPOISHIA RISASI JUMATANO: Mwezi mmoja ulikatika bila kupata mawasiliano kutoka kwa yeyote kati yao. Lakini siku hiyo niliamka ninaumwa. Afya haikuwa njema. Nilipokuwa najisaidia, nilisikia maumivu makali sana, halafu sehemu ya chini ya…

Kahaba Kutoka China-13

Katika kipindi cha kwanza Peter aliona kazi aliyopewa ya kumteka Irene na kisha kumpeleka sehemu husika kuwa kazi rahisi sana kwa kuona kwamba angetumia kiasi fulani cha fedha na hatimae msichana huyo kuingia ndani ya himaya yake. Kitu…

JINI MTU-13

Mvua kubwa ya upepo na mawe ilinyesha zaidi ya masaa mawili..baada ya kutoka katika mapambano makali kule katika makabuli ya nazareti sasa nilikuwa  mbele ya nyumba ya afande Mwita, yapata saa nne kasoro za usiku, kiasi mvua ilikuwa…

Unending Love – 70

Penzi zito linachanua kati ya vijana wawili wadogo, Jafet na Anna, wote wakiwa ni wanafunzi wa sekondari mbili tofauti jijini Mwanza. Kutokana na Jafet alivyokuwa akimpenda msichana huyo, anaamua kukataa kusomea upadri kwa lengo la kutaka…

Bayo Na Imbori -31

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Baada ya Imbori kuteseka muda mrefu hospitali kwa kukosa mtu wa kumtolea figo hatimaye anapatikana kijana kutoka Tanzania, Bayo aliyefanya mawasiliano na Dickson kupitia namba ya simu iliyokuwa imewekwa kwenye…

Ray C arudi kuzimu!

Mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’. Na Musa Mateja KAMA ni kweli manenomaneno yanayozungumzwa mtaani kwamba, mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray…

Unending love -65

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kutoa figo yake moja na kumpa Anna ambaye alikuwa na matatizo ya figo zake kushindwa kufanya kazi. Anaamua pia kukataa kusomea upadri akiamini kwamba akimaliza shule, ataoana…

Unending Love – 60

The World You Left Behind 42

Matumizi mabaya ya fedha za serikali na ubadhirifu mkubwa unaotokea kwenye Wizara ya Fedha, vinamsababishia waziri mwenye dhamana katika wizara hiyo, Abbas Magesa matatizo makubwa na kufanya roho yake iwindwe kwa udi na uvumba. Mpango wa…

The World You Left Behind 41

Matumizi mabaya ya fedha za serikali na ubadhirifu mkubwa unaotokea kwenye Wizara ya Fedha, vinamsababishia waziri mwenye dhamana katika wizara hiyo, Abbas Magesa matatizo makubwa na kufanya roho yake iwindwe kwa udi na uvumba. Mpango wa…

Unending Love – 57

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kutoa figo yake moja na kumpa Anna, pia anakataa kusomea upadri akiamini kwamba akimaliza shule, wataoana na Anna. Hata hivyo, licha ya wema wake kwa Anna, wazazi wa msichana…

Unending Love- 58