The House of Favourite Newspapers

KISUTU: Kaburu Achukuliwa na TAKUKURU

TASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemchukua Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ kwa ajili ya kumuhoji kuhusiana na tuhuma zinazomkabili za utakatishaji fedha kiasi cha Dola za Marekani 300,000 katika…

Hans Pope Amekamatwa na TAKUKURU

MWENYEKITI wa zamani wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope,  amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam…

Hans Poppe Huyu Hapa

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe anatafutwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ili arudishwe nchini na kujibu tuhuma zinazomkabili.   Kupitia ndugu zake, Championi limempata na kusikia…

Baba: Msuva Anakwenda Hispania

BABA wa winga wa zamani wa Yanga, Happygod Msuva ambaye ni Simon ameibuka na kuwaambia Simba kuwa kama walishindwa kumsajili mchezaji huyo akiwa hapa nchini, basi wasahau akiwa Morocco. Kauli hiyo ameitia juzi Jumatano ikiwa ni siku…

Simba waipendezesha Kariakoo

Mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa Burundi, Mavugo akizungumza na wanahabari. Viongozi wa Klabu ya Simba wakizungumza na mashabiki Makao Makuu ya klabu hiyoWakiwa katika zoezi la kufanya usafiMashabiki wa Klabu ya Simba wakifuahia baada…

Mavugo atua Dar Usiku

Dar es Salaam ILIBAKI kidogo Simba ilete straika mwingine kutoka Ivory Coast kwa ajili ya kumjaribu na kisha impe mkataba lakini mpango huo umeishia njiani ukiwa kwenye hatua za mwisho baada ya juzi usiku kutua kwa Mrundi, Laudit Mavugo.…

Mayanja ndiye bosi Simba Sc

Hans Mloli na Nicodemus Jonas MECHI tatu, ameshinda zote, hajafungwa bao lolote. Huyu ni Jackson Mayanja ambaye alisaini Simba kama kocha msaidizi lakini taarifa zimesema uongozi wa klabu hiyo umeamua awe kocha mkuu hadi mwisho wa msimu.…