The House of Favourite Newspapers

ZENGWE LAIBUKA MJENGO WA MBOSSO

ZENGWE limeibuka! Siku chache baada ya msanii kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph ‘Mbosso’ kuunadi mjengo mpya na kusema anamshukuru Mungu kwa kumpatia, mambo yanaonekana kugeuka.  Wenye ‘maneno yao’…

DARASA AONYESHA JEURI YA PESA

WAKATI mta­zamo wa baadhi ya watu wakiamini kuwa Muziki wa Hip Hop Bongo haulipi kivile, hali imekuwa tofauti kwa staa Sharif Thabeet ‘Darassa’ baa­da ya kubainika anaishi kwenye mjengo wa kifahari uliopo maeneo ya Bahari Beach jijini…

SERIKALI YAFUNGIA KAZI BIDHAA FEKI!

DAR ES SALAAM: Serikali ya awamu ya tano kweli siyo mchezo! Hivyo ndivyo walisikika baadhi ya watu wakizungumza kutokana na maofisa wa Serikali kusambaa kila kona kufanya msako na ukaguzi wa bidhaa mbalimbali zinazotengezwa hapa nchini…

OFM YAFUMUA SOKO LA GONGO DAR!

WAKATI Rais Dk. John Magufuli akisisitiza juu ya Watanzania kufanya kazi kwa bidii, bado kuna baadhi ya watu wanaonekana kuweka ‘pamba’ masikioni, wanakunywa gongo muda wa kazi, kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global…

SERIKALI YADAKA MATAIRI VIMEO

DAR: Ama kweli Serikali hii haitaki mchezo, hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia wachapakazi wake kuingia mitaani na kufanya ukaguzi wa bidhaa mbalimbali ambapo Alhamisi iliyopita wakaguzi wa Shirika wa Viwango Tanzania (TBS) kwa…

MSHANGAO NYUMBANI KWA LISSU

WAKATI Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ‘akiwachimba biti’ waliompiga risasi na kumuacha na kilema, mshangao umeibuka nyumbani kwake Tegeta jijini Dar kutokana na mazingira ya ukimya yaliyopo huku ikidaiwa kuwa hakuna anayeishi…

JENGO LA KAMPUNI LAGEUZWA DANGURO

KANGI Lugola (Waziri wa Mambo ya Ndani) upo? Ndivyo walivyohoji wakazi wa Sinza-Mori jijini Dar karibu kabisa na Kituo cha Mafuta cha Big Bon wakionesha kuchoshwa na vitendo vinavyofanya ndani ya nyumba yenye geti linalojinasibu kuwa ni…

Sajent Aingia Mtego wa Kujiuza

STORI: MWANDISHI WETU | AMANI | DAR ES SALAAM Kumekuwa na skendo nzito kwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo kudaiwa kujiuza kutokana na hali ngumu ya maisha lakini mara zote wakiulizwa huwa wanakataa hivyo kikosi kazi cha Oparesheni…

Madenti Washindiliwa Kwenye Buti!

DAR ES SALAAM: Usafiri kafiri! Hali ya usafiri katika baadhi ya maeneo ya pembezoni mkoani Dar es Salaam ni mbaya, kiasi kwamba katika eneo la Kimara Mwisho, njia iendayo King’ong’o na Matosa, usafiri pekee wa Noah unawalazimisha…

Gigy Akiri Kuchoropoa Mimba 3

STORI: WAANDISHI WETU | AMANI | HABARI MWANADADA ambaye ni video queen na mtangazaji wa kituo kimoja cha redio Bongo, Kituo cha Redio cha Choice FM, Gift Stanford ‘Gigy Money’ hivi karibuni alinasa kwenye mtego wa Kite   ngo cha…

Ofm Yamnasa Pam D kwa Dk. Mwaka

Msanii wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ akitoka langoni kwa Tabibu JJ Mwaka. Na mayasa Mariwata, Dar es Salaam: Laivu! Kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, kimemnasa msanii wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam…

Aliyedai afisa tra achezea kichapo

Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema, Ijumaa Dar es Salaam: Tumbua majipu inazidi kushamiri kila kona na sasa imemdondokea jamaa aliyejitambulisha kwa jina moja la Samwel aliyekuwa akijidai kuwa ni Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…

Polisi Dar watua Freemason

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro. Stori: Issa Mnally na Makongoro Oging’,  UWAZI DAR ES SALAAM! Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro (pichani) amesema kuwa jeshi lake linafuatilia…