The House of Favourite Newspapers

Abdi Banda Aomba Radhi

Beki wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amewaomba radhi wadau wa soka nchini Tanzania kufuatia kauli aliyoitoa dhidi ya wachezaji wa Simba SC. Banda alitoa kauli ya kuwakejeli kwa wachezaji wa Simba SC, baada ya mchezo wa Ligi Kuu…

Abdi Banda Ajisogeza Simba

ABDI Banda, nyota wa zamani wa Klabu ya Simba ambaye alisajiliwa na kikosi hicho msimu wa 2014 akitokea Coastal Union ya Tanga, amesema kuwa yupo tayari kusaini Simba ikiwa atapewa ofa nzuri kwa kuwa ni timu ambayo inafanikisha malengo…

Timu ya Banda Yauzwa, Atua Bongo

BEKI wa zamani wa Simba ambaye anakipiga ndani ya Highland Parks FC ya nchini Afrika Kusini, Abdi Banda amerejea nchini kwa mapumziko mafupi baada ya timu yake kuuzwa na kubadilishwa jina na kuitwa Ts Galaxy. Akizungumza na…

Banda Alia na Mipaka Sauz

BEKI wa kimataifa wa Tanzania anayecheza katika kikosi cha Highlands Park kinachoshiriki Ligi Kuu Afrika kusini, Abdi Banda, amesema kuwa ana shauku kubwa ya kurejea Tanzania lakini changamoto kubwa inayomkwamisha kwa sasa ni kufungwa…

Banda Mikononi Mwa Mamelodi

BEKI Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Abdi Banda, atakutana na Mamelodi Sundowns katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya Kombe la NedBank. Banda…

Ndoa Ya Banda, Zabibu Kiba Gumzo

‘KAPO’ inayoonekana kuwavutia wengi mtandaoni ya mwanasoka Abdi Banda na dada wa staa mkubwa wa muziki Bongo, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’, Zabibu Kiba imekuwa gumzo baada kuonekana dalili kuwa, wawili hao wataoana mwezi Agosti, 2018.…

BANDA: NINA OFA 15 MKONONI

BEKI Mtanzania anayekipiga katika Klabu ya Baroka ya Afrika Kusini, Abdi Banda, ameweka bayana kwamba hadi sasa ana ofa za timu 15 ambazo zinahitaji saini yake baada ya kufanya vizuri katika msimu wake wa kwanza nchini Afrika Kusini.…