WANAHABARI TABORA WAPIGWA MSASA ELIMU YA AFYA UZAZI, MAMA NA MTOTO
WIZARA ya Afya kwa kushirikiana na Mradi wa USAID Tulonge Afya fhi 360 wametoa mafunzo kwa wanahabari mkoani Tabora juu ya utoaji habari baada ya uzinduzi wa majukwaa mawili ya mawasiliano ya afya kwa watu wazima ‘NAWEZA’ na vijana…