The House of Favourite Newspapers

Baharia wa Manzese

Ingawa kazi yake rasmi ilikuwa ni kusafisha na kutengeneza kucha mitaani, alifanya kila kazi iliyomjia mbele yake. Alibeba mizigo, alizoa taka majumbani mwa watu, alichota maji na kuwauzia wateja wake na kazi nyingine nyingi! Yeye…

Washindi Droo Ndogo ya Pili Vicheko

WASHINDI wanne wa droo ndogo ya pili ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba awamu ya pili, inayoendeshwa na Global Publishers, leo wameangua vicheko vya furaha baada ya kupewa zawadi zao kama walivyoshinda katika hafla iliyofanyika ndani ya…

Khalid Chokoraa Azuru Global

    Mwanamuziki wa muziki wa Dansi Bongo Khalidi Chuma 'Chokoraa', akishuka kwenye gari lake tayari kwa kuingia ndani ya ofisi za Global Publishers LTD, kufanya ziara yake. Chokoraa akiwa kwenye chumba cha mapokezi akiomba maelekezo kutoka…

Shiriki kuboresha Gazeti la Ijumaa

Mhariti wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima. Gazeti la Ijumaa ni gazeti bora pendwa Bongo!Hakuna anayebisha katika hilo. Ndani ya Gazeti hilo unapata habari na makala za mastaa, makala za mapenzi, afya, saikolojia, katuni, vichekesho na…