×


FacebookKaburi la Bongo Fleva la Chimbwa!

MUZIKI wa Nigeria umesambaa kwa kiasi kikubwa barani Afrika, Ulaya, Amerika na kwingineko. Hilo halina ubishi na ndiyo maana staa wa RnB wa Marekani, Beyonce…

SOMA ZAIDINi Mwendo wa Rekodi!

MAISHA yanakwenda kasi sana! Ukirudi nyuma miaka 15 katika soko la Bongo Fleva, wasanii wengi walikuwa wakitegemea kuuza kazi zao kwenye ‘cassette’, tena hapo kama…

SOMA ZAIDI
Jux + Vee Money = Project?

Haya mapenzi basi ya kisela, Leo raha kesho wanisema, Haya mapenzi basi ya kisela, Leo raha kesho wanikera, Haya mapenzi basi ya kisela, Si ulisema…

SOMA ZAIDI

IZZO B AMFUNGUKIA GODZILLA, PANCHO

RAPA kutoa Mbeya City, Emmanuel Simwinga ‘Izzo Bizness’ amemfungukia rapa mwenzake, marehemu Godzilla na Pancho Latino kuwa ni kati ya waliokuwa marafiki zake wa karibu…

SOMA ZAIDI

MCHUNGAJI AZUA TAFRANI KARIAKOO

DAR ES SALAAM: Ukisikia neno mchungaji amezua tafrani na kufunga mtaa mchana kweupe lazima utabaki na maswali mengi, imekuwaje kwani matukio kama haya ni nadra…

SOMA ZAIDI


MUNA AOTESHWA NDOA MWAKA HUU

MUIGIZAJI wa filamu, Rose Alphonce ‘Muna’ amesema ameoteshwa na anaamini kabisa mwaka huu Mungu, atamletea mumewe kwa sababu hajawahi kumuomba kitu akaacha kumjibu kwa wakati…

SOMA ZAIDI

MOBETO APIGA MIL 50 KWA MWEZI

DAR ES SALAAM: MUNGU akiamua kukupa atakupa tu! Baada ya kudharauliwa mno mitandaoni, hatimaye staa ‘grade one’ ambaye pia ni mwanamitindo na msanii wa Bongo…

SOMA ZAIDI


LULU AVUNJA REKODI YA ZARI

DAR ES SALAAM: Kamwene Lulu! Ndivyo unavyoweza kumsalimia mwanadada mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ukikutana naye baada ya kuvunja rekodi iliyowahi…

SOMA ZAIDI

Mrembo achomwa visu akilazimishwa penzi

WAKATI wapendanao duniani wakiadhimisha Sikukuu ya Valentine’s Day kesho (Alhamisi) kwa kila mmoja kuonesha mahaba niue kwa mwenza wake, hali imekuwa mbaya kwa mrembo Winnie…

SOMA ZAIDI


KIBA, MCHUMBA WA MONDI WAIBUA GUMZO

 DAR ES SALAAM: Habari ‘hot’ kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni kuhusu msanii wa muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz au Mondi’ kutangaza uhusiano mpya…

SOMA ZAIDI

HAWA WANAPIGA KOTEKOTE !

MUZIKI wa Bongo Fleva kwa sasa upo kwenye ubora wake na hilo halina ubishi. Kumekuwa na ushindani mkubwa kwa wasanii wa kike na wa kiume…

SOMA ZAIDI

Ningekuwa mimi Dudu Baya….!

UKIINGIA katika mitandao ya kijamii kila kona, iwe ni Facebook, Instagram, Twitter au Youtube, msemo Konki Konki Konki Master si mgeni. Msemo huo mwanzilishi wake…

SOMA ZAIDIKIKI HIZI DIAMOND THIS IS TOO MUCH

SITAKI kumuongelea sana Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’ anayewakilisha Wasafi Classic Baby (WCB) aliyetoka kimuziki 2016 na Wimbo wa Aiyola kisha Bado uliomfanya kutengeneza ‘drama’ na Jacqueline…

SOMA ZAIDI

MAUA SAMA AFUNGUKA KUMWAGWA NA MZUNGU

KUNA wakati ukiufuatilia sana muziki wa Bongo Fleva utakuwa unaona unabadilika kwa kasi siku hadi siku. Kuna kipindi utaona unaenda kasi na kipindi kingine taratibu.  Ndani…

SOMA ZAIDI
GIGY MONEY: ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA

IJUMAA Sexiest Girl 2015 ndiyo iliyonifanya kufahamiana na muuza nyago kwenye video za Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwani alikuwa ni mmoja wa washiriki….

SOMA ZAIDI

GLOBAL TV Online