The House of Favourite Newspapers

SISTER FAY HEBU KUA KIDOGO BASI!

KWAKO msanii wa Bongo Fleva, Sister Fay, habari zako? Habari za siku nyingi? Bila shaka umzima wa afya na unaendelea na majukumu ya kila siku ya kuhakikisha mkono unakwenda kinywani na kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya taifa letu.…

Wolper, Punguza Ushamba Basi!

NINA kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa wema na fadhila zake kwangu, lakini nisiwe mchoyo kumshukuru kwa niaba yako wewe msomaji wangu, hasa kwa kuwa mfuatiliaji mzuri wa safu hii ya Barua Nzito. Leo nimeona…