Usajili Bongo… Weka Kigingi, Niweke Chuma, Yanga, Simba, Azam Moto Unawaka
VITA ya usajili wa dirisha dogo kwenye Ligi Kuu Bara imezidi kupamba moto ambapo timu mbalimbali zimeendelea kufanya maboresho kwa kushusha mashine za maana kwa ajili ya kuhakikisha wanakuwa na vikosi imara vya kushindania…