×


Facebook

Bongo Fleva, Singeli Kutikisa Leo Dar Live

HATIMAYE! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa Muziki wa Bongo Fleva na Singeli, lile tamasha la Bonsi limewadia ambapo leo Sikukuu ya Idd wakali kibao wanatarajiwa kushuka…

SOMA ZAIDIGlobal FC Kuwavaa Bongo Fleva

Timu ya Global FC inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Wasanii wa Bongo Fleva, Bongo Fleva Fc. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Ijumaa ya wiki ijayo kwenye Uwanja wa…

SOMA ZAIDI

Kaburi la Bongo Fleva la Chimbwa!

…chungu kimoja.   HITIMISHO Kama hali ikiendelea hivi na chuki kukua kila kukicha ni dhahiri kwamba kaburi la Bongo Fleva linakuja kama ilivyokuwa kwa Dansi, Taarab na Bongo Movie.  …

SOMA ZAIDI

Msanii Apenyeza Bongo Fleva Australia

Msanii wa Bongo Fleva, Simon Masanja ‘Simorix The General’ ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Australia ameanza rasmi harakati za kuupenyeza muziki huo nchini humo. Akizungumza na mtandao huu leo, Simorix…

SOMA ZAIDI

Hapatoshi Global FC vs Bongo Fleva

TIMU ya Global FC, keshokutwa Ijumaa inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Bongo Fleva FC kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Vikawe, Kibaha, Pwani.   Akizungumzia mchezo huo, Nahodha…

SOMA ZAIDI

MARIOO ANAVYOPINDUA BONGO FLEVA

…kusumbua katika soko la muziki ndani na nje ya nchi kama Maddtonic, Bella Alubo, Zlatan, Fire Boy DML, Rema na Singha. Kibongobongo pia wasanii wengi wamekuwa wakizaliwa lakini siyo kwa…

SOMA ZAIDI

Hanscana: Mabifu Yanaua Bongo Fleva

M KALI wa kuandaa video za muziki Bongo, Hanscana amefunguka kuwa bifu kati ya msanii na msanii zinachochea kifo cha soko la Bongo Fleva.   Hanscana ameiyambia Over Ze Weekend…

SOMA ZAIDI

Tanzia: Msanii Bongo Fleva Afariki Dunia

TANZIA: Taarifa zilizotufikia ni kwamba mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ (pichani katikati) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Ijumaa, Agosti 15 2019….

SOMA ZAIDINi Mwendo wa Rekodi!

albam yake ya kwanza na kuweka rekodi ya DJ wa kwanza Bongo kutoa albam ya Bongo Fleva. NANDY Kwa sasa huwezi kutaja mafanikio ya wanamuziki wa kike Bongo bila kumtaja…

SOMA ZAIDI


NAMTAMANI RAY C HUYU !

K UNA wakati unaweza kutamani kurudisha nyakati nyuma lakini siyo jambo rahisi. Kamwe huwezi kurudisha siku zilizopita. Lakini ni rahisi sana kuvuta kumbukumbu ya kilichotokea nyuma. Mwanamuzuki wa Bongo Fleva,…

SOMA ZAIDI


Tigo Fiesta Ilivyoacha Historia Dodoma

MKALI wa bongo fleva Nurdin Billal ‘Shetta’ akilishambulia jukwaa kwenye tamasha hilo jana. ZAIDI ya wasanii 16 juzi walitingisha baada ya kutoa burudani ya aina yake katika tamasha la Tigo…

SOMA ZAIDI

KUTOKA ‘SEBULENI ‘ HADI VIWANJANI

…Davido?   Tusubiri! Ukiachana na wakali hao wa Afrika, Kibongobongo dizaini kama ‘sumu’ hiyo ya kujaza viwanja imeanza kuingia. Wasanii wengi hususan wa Bongo Fleva wameanza kuhamia kufanya shoo za…

SOMA ZAIDI

Top 10 Bora ya Wanaoibeba Hip Hop TZ

UKIWEKA kando Bongo Fleva, Muziki wa Hip Hop Bongo kwa zaidi ya miaka 20 umeweza kusimama bila kupotea.   Wapo wasanii mmoja mmoja wanaoendelea kuutetea muziki huu ambao unagusa hisia…

SOMA ZAIDIWalishikwa Wasanii Hawa… Wakatoboa Mkono

BILA shaka utakuwa unafahamu majina makubwa ya wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva kwa sasa. Kitu ambacho unaweza usikifahamu ni namna gani wasanii hao walitoboa katika gemu yao ya muziki….

SOMA ZAIDI

HARMONIZE AWEKA REKODI AFRIKA

D AR ES SALAAM: Mambo yamemyookea! Ndiyo lugha rahisi unayoweza kutumia kuwasilisha mafanikio ya haraka anayoendelea kuyapata, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’.   KISHINDO CHA KWANGARU REMIX…

SOMA ZAIDI

NANDY AWEKA REKODI YA KIBABE

miaka 26 tu huku akiwa na muda mchache kwenye gemu la Bongo Fleva, miaka mitatu na ushee hivi! NDINGA MPYA Mapema wiki hii, mrembo huyo ameshtua ulimwengu wa burudani Bongo

SOMA ZAIDI
ZARI AONYESHA JEURI UKWENI!

…kugoma katukatu kwenda kumsalimia mama mkwe wake, Sanura Kassim ‘Sandra’ kule Madale jijini Dar.   Zari ambaye ni mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alitua…

SOMA ZAIDI


ISHARA 5 HARMONIZE KUJITOA WCB

  Kama inavyokuwa kwa mzazi na mtoto anapofikisha umri wa kujitegemea, ndivyo inavyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ baada ya ishara tano kujitokeza zinazoashiria dalili zote…

SOMA ZAIDI