The House of Favourite Newspapers
gunners X

Hivi Ni Bongo Movies au Bongo Lala?

NA SIFAEL PAUL | RISASI JUMAMOSI | MKITO NUSUNUSU KATIKA moja ya ngoma zake, mwanamuziki wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ aliwahi kudokeza kuwa hivi sinema zetu ni Bongo Movies au Bongo lala? Hapa ndipo…

Shepu Za Sajari Zatikisa Bongo

WAKATI msanii wa Bongo Movies, Rose Alphonce almaarufu Muna Love akimrudia Mungu wake na kumuomba toba kwa kile alichokifanya huku akienda mbali zaidi kwa kuwasihi watu wasifanye sajari, hatimaye shepu hizo bandia, zinazidi kutikisa…