The House of Favourite Newspapers

Msanii Bongo Movie Azua Simanzi

HAYA ni zaidi ya mateso! Ukisema wewe unaumwa, lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe! Hawa Ibrahim almaarufu Carina kwa jina la uigizaji kwenye tasnia ya Bongo Muvi na video vixen (muuza sura) wa nyimbo za wanamuziki…

DUDE AONA FURSA BONGO MOVI

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameona fursa ya kutangaza biashara ya filamu ni kubwa kwa sasa tofauti na kipindi cha nyuma, kwa kuwa utandawazi wa kujitangaza ni mkubwa. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Dude…

Hivi Ni Bongo Movies au Bongo Lala?

NA SIFAEL PAUL | RISASI JUMAMOSI | MKITO NUSUNUSU KATIKA moja ya ngoma zake, mwanamuziki wa Hip Hop Bongo kutoka Kundi la Weusi, John Simon ‘Joh Makini’ aliwahi kudokeza kuwa hivi sinema zetu ni Bongo Movies au Bongo lala? Hapa ndipo…